Tuesday, November 24, 2009

SAMWEL SITTA ASAMBAZA MATREKTA KATA ZOTE JIMBONI KWAKE

Spika wa Bunge la jamhuri ya Muungano ya Tanzania na Mbunge wa Jimbo la Urambo Mashariki Mh. Samwel Sitta akijaribu moja ya Matrekta 12 aliyoyatoa kwa kila kikundi kinchojishughulisha na kilimo kwenye kata zote zinazounda jimbo la Urambo Mashariki katika kutekeleza kauli mbiu ya Serikali kuhusu kilimo inayosema "Kilimo Kwanza" matrekta hayo yana thamani ya shilingi Milioni 100 ikiwa ni ufadhili kutoka Denmark
Picha na Owen Mwandumbya wa Bunge

Msomaji

No comments: