Friday, November 27, 2009

Chuo Kikuu Cha Kilimo Cha Sokoine Champa Mwl.Nyerere Tunzo

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano,Sayansi na Teknolojia, Dk.Florens Turuka (kushoto), akimkabidhi mke wa hayati Baba wa Taifa, Mama Maria Nyerere cheti maalumu cha kutambua mchango wa Mwalimu Nyerere tangu kuanzishwa kwa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kwenye maadhimisho ya miaka 25 jana. Mbali na Mwalimu,wahadhiri na watumishi wengine 21 walitunukiwa.

Msomaji

No comments: