Bango likionyesha pande mbili zinazotumiwa na waendesha baiskeli na watembea kwa miguu.Hata hivyo baadhi ya watumia barabara hiyo wameueleza mtandao huu kwamba mabango mengi katika barabara hiyo ni madogo mno na hayaonekani vizuri.
DODOMA.
Watu wapatao 22 wafariki dunia katika vurugu zilizotokea leo katika Jiji la Abidjani
Maisha ni mazuri ukiwa na nyumba ila ikiwa kuna karaha kama hii inabidi uamishe makazi kwa muda ifikapo hali kama hii, najaribu kuwa challenge ndugu zangu wa JIJI ili tuweze kuboresha haya mazingira, kwani nyie ndio tunaowategemea katika maisha yetu ya kila siku katika swala zima la usafi, Je Mtatusaidia kwa hili? nitafurahi sana kama mtaanzia mtaa wetu huu wa jirani yetu.
Haya wapenzi wa mpira wa miguu hasa wale wanaovipenda kwa sana vilabu viwili vya Uingereza Manchester United na Liverlpool inasemekana wakati manchester United wanakung'utwa goli 4-1 na Liverpool wakati timu hizo zilipokutana hivi karibuni wanja la Oldtraford lilikuwa limeinama kiasi hiki ndiyo maana magoli yalikuwa yakiingia kama mvua haya meipata hii jamani kazi kwenu wapenzi wa Man'U.
For a man who stands 7-foot-3, has played basketball for six years (three of which have been at Connecticut), and is seen as a hero in native Tanzania, Hasheem Thabeet doesn’t act like a national salvation.
Timu ya soka ya watanzania waishio Houston-Texas leo wameendeleza kichapo kwa timu zinazoshiriki ligi ya ujirani mwema zinazoshikirikisha nchi zote za afrika kwa ukanda wa Houston, baada ya kuwafunga Burundi bao moja kwa bila.
Waziri wa Nishati na Madini William Ngeleja akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari kuhusu Uzinduzi wa kamati ya Ushauri wa Madini katika Ukumbi wa Wizara hiyo leo jijini Dar es salaam
Waziri William Ngeleja akiendelea kutoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari na wajumbe wa kamati kuhusu Uzinduzi wa kamati hiyo ya Ushauri wa Madini katika Ukumbi wa Wizara hiyo leo jijini Dar es salaam. Kamati hiyo itakuwa na kazi ya kumshauri waziri katika masuala yote yaliyoainishwa kwenye sheria ya madini mfano uingiaji mikataba na uendelezaji madini (MDAs) na yanayohusiana na usimamizi wa sheria ya madini ya mwaka 1998.
Wanaounda kamati hiyo ni mwenyekiti Meja Jen. G. Mang'enya jaji mstaafu mahakama ya kijeshi wajumbeni Bw. Erick Mugurusi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira), Bw Joseph Stanley Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dr. Philip Mpango Wizara ya fedha na Uchumi, Bi. Maria Kejo Ofisi ya Mwanasheria mkuu wa Serikali, Richard Kasesela Sekta Binafsi na Mh. Esther K. Nyawazwa (Mbunge) kutoka sekta binafsi ambapo mwakilishi kutoka Wizara ya Viwanda Biashara na Masoko bado hajateuliwa
President Jakaya Kikwete exchange views with Prime Minister Mizengo Pinda (second right) Chief Defense Force Davis Mwamunyange (left) and Inspector General of Police Said Mwema at Julius Nyerere International Airport in Dar es Salaam yesterday, shortly before to left for London to attend a meeting on global financial crisis.