Monday, August 24, 2009

Wahanga wa mabomu Mbagala Walipwa !!

Mmoja wa wazee Mussa Mgeni akionyesha hundi yake yenye thamani ya shilingi 168,000 alizolipwa kama fidia kutokana na nyumba yake kuathilika na mabomu hata hivyo mzee huyo asiyeweza kutembea ana umri wa miaka 76 alilia sana kutokana na kuwa nyumba yake ilikuwa ya gharama zaidi ya hiyo pesa aliyopewa.
Mchakato wa kulipwa ukiendelea.
Jinsi walipwaji wanavyohakikiwa katika kumbukumbu.
Wahanga wengine wakisubiri zamu zao.

Msomaji
Dar es salaam

No comments: