Mwakilishi wa uongozi wa CCM - Marekani ambae pia ni mwenyekiti wa CCM - Shina la Missouri bwana Deogratias Rutabana (katikati) alipokutana na Mh.balozi Ombeni Y. Sefue jijini Washington D.C jumatano wiki hii. Kulia ni Mh. balozi Sefua na kushoto ni mmoja wa maafisa waandamizi wa ubalozi bwana Dr. Switbert Z. MkamaMonday, August 31, 2009
UONGOZI WA CCM - MAREKANI WAKUTANA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI MAREKANI.
Mwakilishi wa uongozi wa CCM - Marekani ambae pia ni mwenyekiti wa CCM - Shina la Missouri bwana Deogratias Rutabana (katikati) alipokutana na Mh.balozi Ombeni Y. Sefue jijini Washington D.C jumatano wiki hii. Kulia ni Mh. balozi Sefua na kushoto ni mmoja wa maafisa waandamizi wa ubalozi bwana Dr. Switbert Z. Mkama
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Deogratius akitoa maelezo kwa Mh. Balozi kuhusu maendeleo ya tawi la CCM - Marekani.
No comments:
Post a Comment