skip to main |
skip to sidebar
Taifa Stars itaelekea Rwanda.
Naibu mkurugenzi wa Michezo kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni na Michezo Bwana Charles Matoke na kocha mkuu wa timu ya Taifa Marcio Maximo wakiwa pamoja na wadhamini katika hafla fupi ya kukabidhi bendera kwa timu ya Taifa inayoelekea Rwanda kwa mechi ya kimataifa ya kirafiki na Rwanda. MsomajiDar es salaam
No comments:
Post a Comment