Wednesday, February 25, 2009

ZIARA YA RAIS RUPIAH BANDA WA ZAMBIA KIGAMBONI


Rais Rupiah Banda kushoto katikati ni Waziri wa Nishati wa Zambia Kenneth Konga na kulia kabisa ni Naibu Waziri wa Nishati Adam Malima


Rais Rupia na waziri wake akiangalia moja ya mitambo ya TAZAMA Pipe line huko Kigamboni.


Rais wa Zambia Rupia Banda akiongea na Waziri wa Mambo Nje Bernard Membe ndani ya feri jipya la Kigamboni.


Rais Rupiah alitembelea eneo la TAZAMA Pipeline huko Kigamboni ambalo hushughulika na kusafirisha mafuta ambayo hayajasafishwa kwenda Zambia.


Msomaji
Dar es salaam

1 comment:

Anonymous said...

hii inamaana kuwa Zambia wana kiwanda cha kusafisha mafuta (Oil refinery)nchini kwetu?