Friday, February 20, 2009



Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mh. Michael Ndejembi akiwatambulisha viongozi kwa wanachama na watanzania waliojitokeza katika sherehe hizo. aliyekaa kushoto kwa Mh. Ndejembi ni makamu mwenyekiti Mh. Isaack Kitogo na aliyesimama ni mlezi wa tawi hili Bwana Juma Maswanya.

No comments: