Monday, February 23, 2009

Waganga tumieni viumbe vingine katika kazi zenu

Jamani kila mtu ana haki ya kuishi, kutoa maoni, na kujua haki yake kisheria. Najua vyombo vya habari vinajitahidi.... katika kulielezea hili swala... mimi binafsi linaniumiza kichwa kwani napata maswali kila kona niendapo kama wakijua natoka Tanzania..........ni aibu na jambo la huzuni....sasa target yetu ni nini......mimi naona mkakati ni kuwa kalia kati hawa waganga kwani hawa ndio wanaosambaza hizi habari zao za uzushi.....

Kwani hata mtoto wa binamu yangu haendi shule....inaniuma sana......tuisaidie serikali kuwakamata hawa mafedhuli******* Basi nyie waganga kwanini msiwaambie wateja wenu order nyingine mkawaacha jirani na ndugu zetu waishi salama na amani, na wawe na furaha duniani......kama watu wengine...ohhhhh Mungu walaani hawa watu! na waangamize

Shaibu Said
Houston
Texas.

3 comments:

Anonymous said...

Sikujua kama kama ulemavu wa ngozi ni kwa viumbe vyote. Ndugu nashukuru sana kunielimisha.

Anonymous said...

Hakuna kiumbe chochote kinachotakiwa kupotezewa maisha.

Anonymous said...

hakuna utajiri msafi kwa kumwaga kutoa kafara ya damu/uhai ya kiumbe chochote cha mwenyezi Mungu.Haya yote ni mambo ya kishetani.