Thursday, February 5, 2009

CHAMA CHA MAPINDUZI
TAWI LA MAREKANI
Linapenda kuwakaribisha Wanachama,
Wakereketwa na Watanzania wote popote pale mlipo
katika sherehe za kuadhimisha miaka Thelathini na Mbili ya
kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Zitakazofanyika Houston - Texas,
siku ya Jumamosi tarehe 07 mwezi wa 02 saa Mbili kamili usiku,
katika ukumbi wa Safari.
Kwa maelezo zaidi wasiliana na;
Zainab Janguo: 832 206 6277
Miraji Malewa: 832 741 4452
Michael Ndejembi. 713 384 4567.
Wote mnakaribishwa: Vinywaji, Vyakula na muziki bure!
Zainab Janguo,
Katibu Mwenezi,
CCM-Marekani.

31 comments:

Anonymous said...

Kazi nzuri sana wana ccm wa marekani. Pia nimependa sana mtandao wenu.

Anonymous said...

Je siku ya sherehe mtagawa kadi za uanachama?. Nitakuja kushereeka pamoja na wenzangua lakini itakuwa vizuri kama wataweza kupatiwa kadi siku hiyo.

Masha

Anonymous said...

Nyie ccm nchini marekani mmenifuraisha sana lakini napenda kuwauliza ccm ilizaliwa lini?

Anonymous said...

The CCM is all about focusing on economic modernization as a way of empowering the citizens of Tanzania.

Mzee wa mambo

Anonymous said...

The CCM is all about focusing on economic modernization as a way of empowering the citizens of Tanzania.

Mzee wa mambo

Anonymous said...

The CCM hopes to continue to privatize and modernize in order to ensure all tanzanians are in good hands and safe;


Martin

Anonymous said...

CCM main goal is to improved and strength the private and public sector, serving as the engine of the national economy while the government sharpens its focus on provision of social services, infrastructure, security and governance of the state.

This is what's up !!!!

Go ccm marekani and your the best in the planet. I can't wait to be a member

Choka
Alabama

Anonymous said...

Hakika sijui chama chochote cha chini kwa chini ambacho hakikudai kuwa cha mlengo wa kushoto na kuunga mkono harakati za ufisadi.

CCM ongoza daima, maana hawa watu wa upinzani wote wanaonekana majungu, pia tukiwapatia nafasi watatumia pesa nyingi katika kujiimalisha wakati nyie ccm hayo mambo mlisha yamaliza.

je ni kwanini nchi tajili zinakuwa na vyama vichache vya siasa?

Musa
Alaska

Anonymous said...

Kwa kisingizio cha kuongeza uzalishaji mali, mali ya binafsi ikaruhusiwa na watu binafsi waliokuwa na uhusiano na uongozi wakaruhusiwa kufanya biashara na kuajiri wafanyakazi, huu ndio usemi unaotumiwa na viongozi wa vyama vya upinzani. Lakini sielewi malengho yao ni nini?

Dr.Pius
Arizona University
U S A

Anonymous said...

Chama cha siasa lazima kiwe chama cha siasa kwa maneno na kwa vitendo kama anavyofanya kiongozi mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Dr.Jk.

jk u'r the men !!!!!

CMM MAREKANI MMENIKUNA SANA KWA HUU MTANDAO

Aailyah
California

Anonymous said...

This is what CCM stand for:
1.) Increased productivity which would boost the country's revenue
2.) Increased employment and improved management
3.) Acquisition of new and modern technology
4.) Increased and expanded local and international markets for our products,


Abasi
District of Columbia
Marekani

Anonymous said...

National elections were held on 14 December 2005. CCM's Jakaya Kikwete won 80.28% of the vote. Out of the 232 National Assembly seats filled through direct election, the CCM won 206. I can't believe this. Jk your your a guy of the people and your proving it.

Kyoma
New Mexico

Anonymous said...

It has dominated the politics of Tanzania since independence, and first allowed multiparty elections in 1995, which its candidate Benjamin Mkapa won. He was re-elected in 2000 with 71.7% of the vote. In the National Assembly of Tanzania, the party holds 244 of 275 seats. Tanzanias president and National Assembly members are elected concurrently by direct popular vote for 5-year terms. ...

CCM ndio siri ya mafanikio. Kwanza inaruhusu haki pili inanguvu.

this is what's up !!!!. I solute you ccm marekani for the magic work

Ambilikile
North Carolina
United States of America

Anonymous said...

Similarly, the CCM's major foreign policy focus is economic diplomacy within the international system, and peaceful coexistence with neighbors. We tanzanians abroad appriciate ccm for the opportunity yo are giving us


Mwanaidi
Oregon
US

Anonymous said...

Similarly, the CCM's major foreign policy focus is economic diplomacy within the international system, and peaceful coexistence with neighbors. We tanzanians abroad appriciate ccm for the opportunity yo are giving us


Mwanaidi
Oregon
US

Anonymous said...

CCM nyie mambo yenu mengi mnatumia sana nguvu. Sisi tumekuja huku kutafuta baada ya mambo kuwa magumu huko tanzania sasa bado mnatufaTA huku, hatuwataki. Siasa zenu baki nazo huko sisi ndio tumeishamaliza.....


Manka
DC

Anonymous said...

Wewe manka ujui unalosema. Sasa wewe ulipoondoka kwenu ndugu zako wote ukasaau?, hata ukijifanya mmarekani ukweli ni kwamba nyumbani kwenu ni huko kibosho moshi. CCM tunawashukuru kutukumbuka sisi tuliopo nje ya nchi.

Tunafaamu kunawapuuzi wachache maisha yamewashinda basi kila kitu kilicholengwa kuwasaidia wenzao wao wanakipiga vita.

Kazi nzuri sana viongozi wa ccm marekani

mchangiaji

Anonymous said...

CCM has won all elections, presidential and legislative, held both in Tanzania at state level and in Zanzibar at autonomous level under the multi-party system: 1995, 2000 and 2005.

Now we know that ccm is the only solution in political battle of our country.....

JK + CCM = SOLUTION

Anonymous said...

Also don't forget that ccm has done a good job on its willingness to further strengthen its friendly and cooperative relationship with all Tanzania's abroad for the benefits of the country and the peoples.

Anonymous said...

"The tanzania abroad and the CCM enjoy long-standing friendly ties of cooperation" and us we are convinced that the new type of relations of exchange and cooperation will be further cemented in the new century through ...

CCM marekani kweli kiboko. Rafiki yangu kanipatia huu mtandao wenu. Mmenifuraisha sana, mambo yenu si mchezo. Jitahidi kuwafaamisheni watanzania hili nao wapate nafasi ya kuchangia

Matias
Georgia

Anonymous said...

Tanzania ruling party (ccm) is now in a position to fully implement and pursue its polices as it has won the parliamentary election,

"My party will now... fully implement our policies without hindrance as the opposition parties was sabotaging the nation in order to cast the blame on the ruling party (ccm)

Kidumu chama cha mapinduzi
Mwanachama wa kudumu
Iowa
America

Anonymous said...

CCM hamna hata moja. Uchaguzi unaokuja hamtashinda. Mimi nimekwenda tanzania mawaka jana lakini mabadiliko ni kidogo sio kama nilivyotegemea.

Maria
Indiana

Anonymous said...

waambie hao sio tu wanabakia kujisifia na majivuno mengi. Kitu kimoja ambacho nimefuraishwa nacho ni kwamba rais wetu anajitahidi sana lakini ushirikiano anaoupata kutoka kwetu ni mdogo ukilinganisha na majungu

Anonymous said...

Maria, I don't know whether you have ever discussed the the problem of tanzania such as the poverty one hardly described here:.
CCM says little about it, but enough to know this party is strong enough to shape your country. I am not sure if you follow my point because it seems you know nothing of what your tolkin about

Mwanachama Chadema
Kentucky
U S A

Anonymous said...

Incumbent president and CCM candidate of zanzibar Amani Abeid Karume also won with 53.18% of the vote. This means ccm is the true leding party of tanzania.

Nawatakia sherehe njema wana ccm wote popote pale mlipo. Pia pongezi zangu za zati ziwaendee viongozi wote wa ccm marekani kwa shughuli yenu nzuri katika kulijenga taifa letu

Christina
Missouri,Kansas

Anonymous said...

The flag of CCM has a plain green field with the emblem of the party, a crossed hammer and hoe, in yellow in the canton. These means go green for the good people.

Happy Birthday CCM and all good people


Mtumwa
Louisiana
United states of america

Anonymous said...

2009 is the 34th Anniversary of the most famous political party in tanzania CCM and founder of the theory of levolution. It is also the 4th anniversary of the most famous preisident in Afrika Dr. Kikwete, who true work for his people.

Happy birthday CCM

Masha
Minnesota
U S A

Anonymous said...

Nawatakia kila la kheri katika kushereekea kuzaliwa kwa chukua chako mapema(ccm)

Mwana chama mkereketwa
Upendo
West Virginia

Anonymous said...

Chama Cha Mapinduzi (The Revolutionary Party of Tanzania) was formed in 1977 following the merger of the Tanganyika African National Union (TANU) and the Afro-Shirzai Party of Zanzibar.

HAPPY BIRTHDAY CHAMA CHA MAPINDUZI

Mocha
Wyoming
USA

Anonymous said...

Sherehe na mafanikio mema katika shughuli za utendaji wa kazi zenu

Nitawasiliana nanyi kwa njia ya mtadao hili nijiunge na chama.

Joyce
Cleveland, Ohio

Anonymous said...

Nimependa sana juhudi zenu wana ccm, lakini swali langu kwenu ni;

Je nikijiunga na ccm hapa marekani nitafaidika vipi na kujiunga kwangu?

Martin Jacob
Colorado Springs, Colo.