Thursday, February 5, 2009

Rais JK Kikwete akizungumza na wanafunzi wa chuo kikuu cha Dodoma leo mjini Dodoma. Rais pamoja na viongozi karibu wote wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na serikali wamekuwa karibu mno na wanafunzi wa vyuo vikuu licha ya licha ya lawama toka kwa baadhi ya watu kwamba serikali hiyo haiwathamini wanafunzi wa vyuo vikuu. hivi karibuni waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda alikuwa chuoni hapo kuzungumza na wanafunzi, viongozi pamoja na wafanyakazi wa chuo kikuu hicho cha Dodoma.

Msomaji,
Tanzania.

1 comment:

Anonymous said...

watanzania tumeishazoea mtu akitupatia msaada basi mapaka akufikishie mlangoni. Hawa wanafunzi sielewi wanachokitaka ni nini? wote inabidi tuelewe kuwa nchi yetu ni masikini kwahiyo tunapopungukiwa maitaji yetu inabidi tushirikiane katika kukamilisha hayo maitaji sio tu kulalama.

Serikari yetu inajitahidi kadri inavyoweza.


Nataliya
Temeke
Dar es salaam