Sunday, February 15, 2009

NDUGU WANAJUMUIA
UONGOZI WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM)
TAWI LA MAREKANI
UMEPOKEA KWA MASIKITIKO MAKUBWA KIFO CHA MAMA MZAZI
WA MIRAJI MALEWA KILICHOTOKEA MAPEMA IJUMAA
NYUMBANI TANZANIA.
UONGOZI, KWA NIABA YA WANACHAMA UNAPENDA KUUNGANA
NA WATANZANIA KATIKA KUMFARIJI NDUGU YETU
BWANA MIRAJI MALEWA AMBAYE PIA NI KATIBU MKUU WA
CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM)- MAREKANI.
UONGOZI UNATAMBUA KWAMBA HIKI NI KIPINDI KIGUMU
SANA KWAKE NA FAMILIA YAKE NA HIVYO UNATOA POLE NA
MWITO KWA WANACHAMA KUMFARIJI
KWA HALI NA MALI BWANA MIRAJI NA FAMILIA YAKE.
KUWASILIANA NA MIRAJI:
832 741 4452 cell phone
281 575 6887 home phone
KATIBU MWENEZI BI. ZAINAB JANGUO
ATAPOKEA NA KUWASILISHA
SALAMU ZA RAMBI RAMBI KWA NIABA
YA CHAMA.
KUWASILIANA NA ZAINAB
JANGUO: 832 206 6277 cell phone.
michael ndejembi
M/kiti.

14 comments:

Anonymous said...

Pole sana Ndugu miraji. Nakutakia uvumilivu mwema hasa katika kipindi hiki kigumu

Amen

Anonymous said...

Wanajumuhia naomba tumfariji mtanzania mwenzetu ndugu Miraji ambaye amekuwa akijitolea sana hasa katika mambo yanayotugusa sisi watanzania wote tunaoishi hapa houstoni.

Pole sana ndugu Miraji

Anonymous said...

Nimepeokea taharifa hizi kwa masikitiko makubwa. Sisi tuliopo Dallas tunaungana na watanzania wenzetu katika kumfariji Ndugu Malewa katika kipindi hiki kigumu

Mungu alito na mungu atachukua

Anonymous said...

Familia ya ndugu miraji poleni sana. Mungu awe nanyi wakati huu mgumu, na awasaidie kwenye mipango yote ya msimba mpaka mtakapomalizika.


Pole sana Ndugu miraji

Anonymous said...

Bwana ametoa, bwana amechukua, tunamuombea mama yako miraji apumzike kwa amani.

Anonymous said...

Rest in peace mother, we will truly miss you.

Amen

Anonymous said...

Rest IN Peace. Amen

Shaban.

Anonymous said...

Nimepoke tahari hizi kwa mshangao kupitia kwa rafiki yangu. Miraji sijui kama unanikumbuka (Jonas, ubarozini France)

Nakupa pole sana

Anonymous said...

Pole sana bwana Miraji kw msiba uliokupata

Anonymous said...

Ndugu Miraji, tumepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya msiba wa mama yako mzazi, sisi watanzania na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi Tawi la London UK tunakutakia uvumilivu mwema na mungu akubariki, Mungu ailaze roho ya mama yetu mahali pema peponi.Mdau Reading UK

Anonymous said...

POLE SANA NDUGU MIRAJI KWA KUFIWA NA MAMA YAKO

AMENI

Anonymous said...

POLE SANA NDUGU MIRAJI KWA KUFIWA NA MAMA YAKO

AMENI

Anonymous said...

Ndugu miraji, nakutakia uvumilivu katika kipindi hiki kigumu

Mungu amlaze mahali pema peponi mama yetu mpendwa aliyetutoka.

Anonymous said...

Pole sana kaka Miraji na familia nzima kwa msiba huu.
Steve,H-town