Friday, February 13, 2009

Naomba kueleza yale yanayo fanya watu wazidi kupata ugumu katika maisha ni pamoja na mazingira yetu tunayo ishi, sio hili eneo tuu! ambalo linaonekana kama hivi jamani kwanini tusijitahidi kuondoa udhia huu, kwa kudumisha sera nzima ya usafi sio Downtown tu, mpaka anapoishi jirani yangu.......

Shaibu Said
Houston
Texas.

6 comments:

Anonymous said...

Kila siku naona askari wa jiji wakikimbizana na machinga, je mbona awakimbizani na jamaa wanaotakiwa kuzoa huu uchafu?

Kweli safari bado ni ndefu

Mchangiaji

Anonymous said...

Hao madiwani wanafanya kazi gani?

Anonymous said...

Je hii kazi ya kuzoa uchafu nayo tunaitaji mwekezaji kutoka nje ya nchi?

Anonymous said...

Wale watoto wetu waliopo nje ya nchi wakirudi watatupa mbinu za kukabiliana na hili tatizo

Chinga
Manzese

Anonymous said...

mzee chinga wa manzese,sio sisi tuu tulio kuwa mbali na nchi tutaweza kuwapa miundo mbinu ya kufanya usafi ni wananchi kama wewe utaweza kunufaisha huduma hii....kwa kufanya usafi wa nyumba hadi mtaa, hadi kata, na hata kuanzisha ajira ya usafi kwa baadae

Anonymous said...

Hii imenikumbusha enzi zile jangwani uchafu wa kumwaga. Ndugu zangu kabra ya kuwalaumu watu wanaotakiwa kuzoa huu uchafu inabidi tujiulize huu uchafu umewekwa na nani?


Aisha, Salumu
NY