Tuesday, February 24, 2009

LIYUMBA AWAFUNGA WATU MIDOMO

Kulia ni Atamus Liyumba akiwa na mtuhumiwa mwenzake Deogratius Kweka wakati wanaingia Mahakama ya Kisutu leo.
Bwana Lyumba akijipanga kujibu mashambulizi baada ya kulejea katika kinyang'anyilo Bw. Liyumba akiulizia sehemu ya kukaa.
Ilikuwa inasemekana kuwa Bw Liyumba amekimba lakini leo ndio ukweli ulikuwaujulikane kama amekimbia kweli au la. Bw Liyumba kinyume na matarajio ya wengi alikuja Kortini kama alivyopangiwa nakuwaacha watu wengi midomo wazi

Msomaji
Dar es salaam

4 comments:

Anonymous said...

He seems to be confident of what he is doing.

Anonymous said...

Liyumba shine in the court with confident. It was unbelivable the way he appered with confident.

Anonymous said...

Changa ya macho, utasikia kafia gerezani na mwili wake umepelekwa marekani kwa uchunguzi

Sirikali

Anonymous said...

Tanzania kweli nchi ya ajabu, huyu jamaa ameiba pesa za walipa kodi baadhi yao hata mlo wa siku ni shida,yeye akawa anagawa magari ya rangi ya simba huku hata viongozi wetu wa usalama wakiwa wamelala.
Maana chi za wenzetu ukiweka dola elfu kumi tu, serikali yote na vyombo vyake vya usalama vinaanza kukufuatilia kama hizo pesa ni za halali na utawaeleza uhalali wake kuanzia A-Z,ukishindwa mali zote ni zao,yaani zinataifishwa na kuwa mali za serikali.