Wednesday, February 11, 2009

Waziri mkuu Mh. Mizengo Pinda akisalimiana na viongozi na baadhi ya wanachama wa Maalbino Tanzania alipomtembelea Bungeni mjini Dodoma. Viongozi walifika bungeni kumpongeza Mh. Pinda kwa kuwa mstari wa mbele katika kusimamia vita dhidi ya wanaopoteza maisha ya Maalbino nchini Tanzania.

Msomaji.

No comments: