Friday, February 20, 2009

Katibu mwenezi wa CCM tawi la Marekani Miss Zainab Janguo akitanbulishwa katika sherehe nono za kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi. Sherehe hizo zilifanyika katika ukumbi wa Safari Jumamosi ya tarehe 07/ Feb/ 09 hapa Texas. Kushoto kwa Miss Zainab ni mweka hazina wa CCM Bw. Innocent Batamula na anayeonekana kwa mbali kidogo ni Miraji Malewa ambaye ndiye katibu mkuu wa tawi.

No comments: