Saturday, February 21, 2009

Mlezi wa Chama Cha Mapinduzi Bw. Juma Maswanya akitoa hotuba yake katika maadhimisho hayo ya miaka 32 ya kuzaliwa kwa CCM jijini Houston. Bwana Maswanya aliwapongeza watanzania kwa kujitokeza kusherehekea sherehe hizo, lakini pia waliwataka watanzania kutambua na kuzikubali tofauti za kiitika miongoni mwao kwani kukua kwa jumuia ya watanzania inaenda sambamba na kuibuka kwa tofauti za kiitikadi na hivyo ili jamii iendelee kuwa na amani na mshikamano ni lazima jamii hiyo kwanza ielewe na kuzitambua tofauti hizo na kisha kuzikubali kwani haiwezekani jamii ikawa na mtazamo mmoja iwe katika dini, siasa ama tamaduni.

No comments: