Tuesday, February 24, 2009

JINSI MKUU WETU ANAVYOTAFAKARI SWALA LA MAFISADI NA MAENDELEO YAJE.


Mkuu wa nchi akitafakari jinsi atakavyoiendeleza Tanzania yetu.








Hapa anapiga mikakati yake jinsi ya kuendele kuwabana mafisadi .
Msomaji
Dar es salaam

5 comments:

Anonymous said...

But remember that while some parts of the country have achieved reasonably strong economic growth rates and are making progress towards at least some of the MDGs, much of the country lags far behind.

Anonymous said...

But the conflicts in fisadi's and wananchi have been more intractable, the president know that, and “bleed like open wounds on the face of the country.” Most serious at the moment in our country is the gape between top government official and the normal legular employees, “the largest humanitarian crisis in our country

Anonymous said...

YES WE CAN AND YES WE DID!" A few short words from tanzanian's as we climb reach the top of fisadi's.

Anonymous said...

Kazi nzuri Dr. Nakutakia afia njema


Sophia
UK

Anonymous said...

Mheshimiwa hii kazi ni ndogo ni ushirikiano tu na vyombo vyako.
Tuangalie yule kiongozi wa jimbo aliyetaka kuuza kiti cha Obama kule USA ameondolewa kazi kirahisi kabisa na bunge.
Huyu jamaa alikuwa ndio mbioni kuuza hiko kiti,bado hajapokea hata pesa lakini viongozi wa usalama wamemnasa na kazi kwisha.
Sasa hawa mafisadi wanapesa, wanajiwekea dhamana za mamilioni tena bado kuna ushahidi gani unatakiwa?