Thursday, December 31, 2009
RAIS JAKAYA AKITANGAZA RASMI KIFO CHA SIMBA WA VITA IKULU LEO
SALAMU ZA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE ZA MWAKA MPYA KWA WANANCHI
SALAMU ZA MWAKA MPYA ZA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA JAKAYA MRISHO KIKWETE, KWA WATANZANIA,TAREHE 31 DESEMBA, 2009
Kwa upande wa elimu mwaka huu umeendelea kuwa wa mafanikio kwa upanuzi wa elimu ya awali, msingi, sekondari na elimu ya juu. Kwa sababu hiyo, tunao wanafunzi wengi katika ngazi zote na aina zote za elimu kuliko wakati mwingine wowote katika historia ya nchi yetu.
Monday, December 21, 2009
President Kikwete Marks His Fourth Year As Great Peace Maker
AS President Jakaya Kikwete marks his fourth year in office today, the pillar of reconciliation of the Zanzibar longstanding political rivalry between his ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) on the island and the Civic United Front (CUF) stands boldly behind him as a sterling achievement.The recent glorious hand shakes of the CUF's strongman Seif Sharif Hamad and Zanzibar President Amani Abeid Karume, political rivals hitherto blinded by fierce animosity for each other, may not have produced a tangible peace agreement, but their posture is no longer that of daggers drawn.
President Kikwete being the national chairman of CCM, it is unthinkable that such a national feat could have been pulled without his knowledge or involvement albeit remote. The meaning is that the doors, which were slammed shut and remained closed in the hostility time, have once more been flung open for progressive and friendly discussions.
The national political future is brighter and Mr Kikwete deserves accolades for the hopeful turnaround. The fight between CCM and CUF in Zanzibar has been raging for years, torn and stained by mistrust between the two parties.
Since the last general elections in 2005 the two camps have been looking daggers at each other, the chief bone of contention being the alleged flawed polls that CUF alleges put the CCM presidential candidate Amani Abeid Karume in power.
This accusation did not start with the 2005 General Election and a couple of Kikwete's predecessors had to reckon with it. The third-phase president Mr Benjamin Mkapa did his best to reconcile the Tanzania Indian Ocean political rivals, but only made a little dent if ever his efforts had any results at all, in the fight.
Mkapa's predecessor Ali Hassan Mwinyi, successor of Tanzania's founding president Mwalimu Julius Nyerere also had, so to speak, some brush with the acrimonious political situation as well. He merely slid down like one striving to climb a slippery hill.
Notably, both Mwinyi and Mkapa scored no remarkable effects on the matter. Kikwete's assumption of power made no indication for a solution to the dispute.
That, however, does not mean all hope had been lost since with the coming of a new leader, new hope and the people's expectations also grow. President Kikwete's youth may have been one element that generated hope for a solution to the Zanzibar's political impasse. His charisma too may have shone some light into the political future of the nation.
Yet to some other political players of the day the president must have appeared too young to bring a relief in the fight and if they gave him any chance to try, it was very little and they did it with much impatience.
Soon Doubting Thomases began hurling political stones at him as a failure because, given what they must have set as the deadline for a solution, peace between the two wrangling parties was long over due.
The isles political reconciliation has been to most political observers on the island, belated. So belated it has been that the country's chief opposition party CUF blamed the lack of reconciliation on the president, writing it off as a weakness signature of the presidency.
The CUF National Chairman Prof Ibrahim Lipumba could not hide his feelings for how Kikwete was handling the matter and got it off his chest when on 28 September this year he said: "President Kikwete has neither the desire nor the ability to resolve Zanzibar's political impasse."
The professor spoke as a disappointed politician and dismissed the President's remark on the issue as misguided. What President Kikwete has said was that he had not failed to resolve the Zanzibar's political quarrel. It had to be approached with keen diplomacy.
However, keen political observers will remember that with hardly a year in office the president said the government was working around the clock underground to resolve the Zanzibar's political deadlock and bring about peace to the islanders.
Given comments like those of Prof. Lipumba and others, only a few people must have believed that the government was working hard to resolve Zanzibar's political crisis. But now, and in retrospect specifically, what President Kikwete told the UN Secretary General Mr Ban Ki-moon at the UN Chief's office in New York recently that an amiable solution to the Zanzibar crisis was within the two parties power, can only be underscored by Mr Hamad and President Karume's meet and the resultant hearty handshake.
The inimical political state between CUF and CCM no doubt polarized the insular Tanzania and there can be no gainsaying that acrimony, which gained a global stature has done much harm to the Zanzibar government, particularly hurting the twin island of Pemba, CUF's stronghold.
Think of the EPA scandal. He has applied the rule of law. Talk of Richmond. The rule of law was left to govern. Now talk of the Zanzibar political impasse that left his predecessors gasping. He applied diplomacy even as he remained so much in the background.
Signing a tangible agreement of sorts is therefore neither here nor there as of now. Most material is that the ground for further peaceful negotiation has been prepared and the spirit that pulled the antagonistic parties of Hamad and Karume together appears to be growing stronger for not only more warm handshakes but likewise for a communal better tomorrow.
When Kikwete begins the race for a second term he can move around the country with his chest forward, his head held high in the pride of ability to bring peace. Peace is conducive for prosperity.
Waziri Ngelleja aongea na waandishi wa habari kuhusu kurudiwa kwa zabuni ya ununuzi wa mitambo ya umeme
Waziri wa Nishati na Madini William Ngelleja akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu uamuzi wa serikali wa kuona busara ya kurudiwa kwa zabuni ya ununuzi wa mitambo miwili ya uzalishaji umeme na kuwataka wazabuni wote waliofuzu kwenye mchujo na kuthibitika kuwa wanauwezo wawasilishe takwimu za kuwezesha kufanyika kwa tathimini ya gharama za ununuzi wa mitambo, ujenzi na uendeshaji. Zabuni hiyo inahusu Mitambo miwili yenye uwezo wa kuzalisha Megawat 100 katika mkoa wa Dar es Salaam na Megawat 60 katika mkoa wa Mwanza. Kulia ni naibu waziri wa wizara hiyo Adam Malima. Friday, December 18, 2009
RAIS JAKAYA ATIA SAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO YA MAREHEMU GAMA
Rais Kikwete atembelea Chuo Cha wanayamapori mweka
Thursday, December 17, 2009
RAIS JAKAYA AWAKARIBISHA WAREMBO MISS EAST AFRICA KWA CHAKULA CHA JIONI
Msomaji
Dar es salaam
Tuesday, December 15, 2009
DR. SHEIN ALIVYOWASILI DENMARK KWA MKUTANO WA MABADILIKO YA TABIA NCHI
Wakati jana mkutano wa mazingira huko Denmark ulipata kwikwi kwa muda baada ya nchi za Dunia ya tatu zikiongozwa na Africa kugomea kutoa ushirikiano, leo viongozi mbalimbali wameanza kuwasili kwaajili ya mkutano wa viongozi wa dunia kuhusu mabadiliko ya tabia nchi ambao utafanyika kesho.Tanzania inawakiliswa na Makamu wa Rais Dr Ali Mohamed Shein ambaye ndo anawasili muda huu.Msomaji
Denmark
Monday, December 14, 2009
Thursday, December 10, 2009
Jakaya Kikwete ateta na Mzee Kawawa Viwanja vya ikulu
Wednesday, December 9, 2009
Kikwete aongoza Watanzania kuadhimisha miaka 48 ya Uhuru uwanja wa Uhuru
Tuesday, December 8, 2009
Madereva watakiwa kutoa ushirikiano kwa kampuni ya majembe
Monday, December 7, 2009
Rais Jakaya Kikwete alivyorejea Nyumbani
Msomaji
MAADHIMISHO YA SHEREHE ZA MIAKA KUMI YA BONDE LA MTO NILE
Makamu wa Rais Dr. Ally Muhamed Shein akifungua rasmi mkutano wa siku tatu ambao unaambatana na sherehe za miaka kumi ya bonde la mto Nile (Nile Basin Initiative) mkutano huo unakutanisha Mawaziri wa maji na wajumbe mbalimbali kutoka nchi ambazo bonde la mto nile limepitia na utajadili mmambo mbalimbali kuhusu jinsi ya kulinda na kuhifadhi mazingira pamoja na changamoto zinazojitokeza juu ya uhifadhi wa bonde hilo na unafanyika katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam.
Makamu wa Rais Dk.Ali Mohamed Shein akiwa katika picha ya pamoja na mawaziri wa maji wa Bonde la Mto Nile mara leo baada ya kufungua mkutano wa siku tatu wa Nchi Shiriki za Bonde la Mto Nile (Nile Basin Initiative) ulioambatana na sherehe za kutimia miaka 10 tokea kuundwa kwa Ushirika huo, mkutano huo utajadili juu ya mafanikio yaliyopatikana tokea kuanzishwa kwake, changamoto pamoja na matarajio ya baadae katika kituo cha mikutano cha Mlimani City jijini.Friday, December 4, 2009
Take skills back home, President Jakaya Kikwete tells Tanzanians studying abroad!!!
President Jakaya Kikwete has called on Tanzanians pursuing studies abroad to return home after finishing their courses so they can use their skills to improve the country’s socio-economic development.Kikwete made the call on Wednesday at Melia Santiago Hotel here at a luncheon with students pursuing different studies in Santiago de Cuba province. Among the students, six are pursuing degrees in medicine, two in engineering and one in economics.
He urged the students to study hard so that at the end of their courses they returned home with full knowledge and skills that would help the country.
The president said the country was in dire need of medical doctors and other experts.
According to Tanzania’s Ambassador to Cuba Peter Kallaghe, there were about 43 students studying in different universities in Cuba.
In the afternoon, President Kikwete visited the Granjita Siboney Memorial House where Cuban revolutionary leader Alejandro Castro Ruz and his colleagues planned the failed revolution in 1953.
The said house was also visited by Mwalimu Julius Nyerere when he visited the region on September 20, 1974. Kikwete is the second Tanzanian president to visit Cuba.
Later in the evening Kikwete visited the Moncada Barracks, which was built in 1859, and was briefed about the history of the 1959 Cuban revolution.
President Kikwete is in Cuba for a three-day official visit following an invitation by his host, Cuban President Raul Castro Ruz.
President Kikwete was expected to complete his visit yesterday
Msomaji
Cuba
Balozi wa Marekani Akutana na Rais Karume
AfDB lends Tanzania $245 mln for road upgrades
The African Development Bank (AfDB) approved a $245 million loan for a road project in Tanzania aimed at boosting the east African country's economy, the bank said on Thursday. The bank has stepped up lending during the global financial crisis, taking a lead on key projects to ensure countries press ahead with their long-term development while commercial lenders avoid committing new funds.
Balozi wa Rwanda aishukuru Tanzania
maadhimisho wa siku ya walemavu nchini tanzania kwenye viwaja vya Mnazi Mmoja yalivyofana!!
Mkuu wa wilaya ya Ilala Evance Balama akimuangalia Abdala Nyangala ambaye ni mlemavu wa macho kutoka Mbagala Kibondemaji jinsi anavyochomeka uzi wa sherehani kwenye cherehani yake ambayo anaitumia kushona nguo za aina mbalimbali za jinsia ya kike na kiume. Mkuu wa wilaya huyo alikuwa mgeni rasmi wakati wa maadhimisho ya siku ya walemavu Duniani yaliyofanyika leo katika viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar es Salaam.
Kamishna wa Tume ya Taifa ya Kudhibiti ugonjwa wa UKIMWI (TACAIDS) Fatma Mrisho akiangalia batiki zilizotengenezwa na wanawake wajasiliamali wenye ulemavu wa aina zote wakati wa maadhimisho ya siku ya walemavu Duniani yaliyofanyika leo katika viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar es Salaam.
Wasanii wa kikundi cha sanaa cha walemavu wa aina zote cha Upendo kilichopo mkoani Dar es Salaam wakitoa burudani wakati wa maadhimisho ya siku ya walemavu Duniani yaliyofanyika leo katika viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar es Salaam.Thursday, December 3, 2009
Balozi Mpya wa Rwanda amtembelea Spika Mhe Samuel Sitta
Kigoma Nao Pia Wagoma !!
Treni ya abiria ya kwenda Mwanza, Kigoma na Mpanda ikiwa imesimama katika stesheni ya Salanda mkoani Singida ili abiria wajipatie chakula juzi. Treni hiyo iliingia mkoani Kigoma jana baada ya madereva wake kuwa na mgomo katika vituo vya njiani mara kwa mara.Utiaji wa Saini makubaliano kati ya Norway na Tanzania kusaidia Bonde la Mto Nile !!
Balozi wa Norway nchini John Lomy akiweka saini hati ya makubaliano ya kutoa dola za kimarekani milioni 3.4 kwa ajili ya upembuzi yakinifu wa ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme kutoka Singida kupitia Arusha hadi Nairobi. Kushoto ni Mkurugenzi mtendaji wa Uendelezaji wa Bonde la mto Nile Bi. Henrietha Ndombe
Balozi wa Norway nchini John Lomy (kushoto) akibadilishana hati za makubaliano ya kutoa dola za Kimarekani milioni 3.4 na Mkurugenzi mtendaji wa Uendelezaji wa Bonde la mto Nile (NBI) Bi. Henrietha Ndombe kwa ajili ya upembuzi yakinifu wa ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme kutoka Singida kupitia Arusha hadi Nairobi. Makubaliano hayo yalifanyika jana jijini Dare salaam.Msomaji
Dar es salaam
Wednesday, December 2, 2009
2010 General Election set to cost 134 billion/-
Katibu mkuu wa CCM Mhe Yusufu Makamba akazia wito wa harambee ya uchaguzi wa CCM
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi, ndugu Yussuf Makamba (Mb) ametoa ufafanuzi wa Kauli ya Katibu wa NEC Uchumi na Fedha, ndugu Amos Makala kutokana na habari iliyochapishwa na gazeti la Majira la Desemba Mosi, 2009 lenye Kichwa cha habari “Kauli ya fedha za kampeni moto CCM”.Makamba alisema hapingani na Mkakati sahihi wa Idara ya Uchumi na Fedha wenye nia nzuri ya kukipatia Chama fedha kwa njia ya uwazi usiotia shaka yoyote. Kwa kuhofia mwandishi kupotosha jambo kubwa kama hili alimtaka awasiliane na Makala mwenyewe ili aweze kupatiwa ufafanuzi wa kina kwani ndiye Mkuu wa Idara mwenye Mamlaka ya kuelezea mipango na mikakati yote iliyo chini yake.
Alisema mwakani tuna uchaguzi mkuu wa Dola, moja ya kazi ya idara yake ni kubuni mikakati na mbinu halali za kukitafutia Chama fedha, ikiwa ni katika kutekeleza awamu ya tatu ya mradi wa kuimarisha Chama.
Mbinu hizo ni pamoja na kila mwanachama, wapenzi na wakereketwa wa CCM wanatakiwa kukichangia Chama, kuanzisha harambee katika ngazi zote za chama ili kutunisha mifuko ya uchaguzi katika ngazi hizo na kutumia teknolojia ya habari na mawasiliano kupitia ujumbe mfupi (SMS) . Huo ni utaratibu wa kawaida ambao hutumiwa pia na taasisi za mbali mbali.
Makamba anasema Mpango huo wa Idara umetangazwa huko Ruvuma, na Kibaha na Mkuu wa Idara mwenyewe, anawaomba watu wenye mapenzi mema na CCM walione hili kwamba ni jambo jema na waliunge mkono kwani linatia matumaini.
Anakubaliana na nukuu ya Makala toka kwa mwana mapinduzi wa China, Mao Tsetung ya kwamba ukifanya jambo lolote na ukapingwa na mpinzani wako ujue umepatia endelea nalo na ukifanya jambo na ukaungwa mkono au kupongezwa na mpinzani wako jua kwamba umekosea mahali, acha mara moja mpango huo.
Kwa ufafanuzi huu Makamba anawataka wanachama wa ngazi zote wajiandae kukichangia chama chao na wao wanasubiri kwa hamu mapendekezo hayo ya Idara ili wayatafakari na kupeleka katika ngazi za juu kwa kuyapitisha.
MAADHIMISHO YA MIAKA 10 YA USHIRIKIANO WA NCHI ZINAZOTUMIA MTO NILE
Tuesday, December 1, 2009
Wanafunzi wa shule za sekondari watakiwa kuzijua haki zao za msingi!!
Makamu Mwenyekiti wa tume ya haki za binadamu na utawala Bora Mahfoudha Alley Hamid katika moja ya mikutano aliyowahi kuifanya na waandishi wa habari.
Wanafunzi wa shule za Sekondari hapa nchini wametakiwa kuzijua haki zao za msingi ambazo zitawasaidia kupata mahitaji yao ya muhimu bila ya kunyanyaswa na watu wachache ambao hawapendi kuzifuata haki za binadamu na utawala bora.
Wito huo umetolewa jana na Mary Massay ambaye ni Kaimu Katibu Mtendaji wa Tume ya haki za Binadamu na Utawala bora wakati wa mdahalo wa wananafunzi wa shule za sekondari kutoka mikoa ya Dar es Salaam na Pwani kuhusu haki za binadamu uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa tume hiyo uliopo jijini Dar es Salaam.
Massay alisema kuwa ofisi za tume ya Haki za Binadamu na Utawala bora imekuwa ikichapisha vitabu, majarida na vipeperushi mbalimbali vinavyoelezea haki za binadamu katika makundi mbalimbali hivyo basi kama wanafunzi hao watakuwa na bidii ya kusoma machapisho hayo yatawasaidia kujua haki zao.
Alisema, "Hivi sasa tume ya haki za binadamu na utawala bora imeamua kutokuwaacha nyuma watoto kwani nao ni wanajamii na ni sehemu ya haki za binadamu hivyo basi inawafundisha mambo ya muhimu kuhusiana na haki za binadamu ili nao watakaposhika madaraka hapo baadaye wajue la kufanya".
Aliendelea kusema kuwa wananchi wengi katika miaka ya hivi karibuni wamekuwa na uelewa mkubwa kuhusu haki za binadamu na utawala bora jambo la muhimu lililopo ni kuzilinda na kuzitetea haki hizo."Ni jukumu la watanzania wote kujua haki za binadamu ni zipi kwani katika maisha tunayoishi kila siku haki za binadamu zipo.
Kwa mfano unaweza kujiuliza Je shuleni watoto wanapewa nafasi ya kuchangia? Wazazi wanawashirikisha watoto wao katika mambo mbalimbali ya familia?, kama hakuna ushirikishwaji wa watoto basi haki za binadamu hazifuatwi hapo", alisema Massay.
Msomaji
Dar es salaam

