Thursday, June 4, 2009

NEW ZEALAND SASA HESHIMA KWA TAIFA STARS

Kocha wa Taifa Stars akimpa mkono Kocha wa New Zealand Ricki Herbert jana baada ya mechi.
Siku hizi Taifa Stars tumekuwa kama majuu tunauwezo wakubadilishiana jezi. Yana inamaanisha kuwa kila mechi ya Taifa Stars jezi ni mpya, duuuh "na hii ndo maendeleo".
Timu ya taifa star jana ilionyesha mchezo wa kimataifa baada ya kuinyuka timu ya New Zealand mabao mawili kwa moja. Timu hiyo ilikuwa ya kwanza kupata bao katika dakika za kwanza baada ya mlinzi wa Taifa Star kuunawa mpira ndani ya chumba cha penanti. Hata hivyo vijana wa macio maximo hawakujali walizidisha mashambulizi ambayo Kunako kipindi cha pili dakiki ya 54 Jerry Tegete alisawazia bao. Taifa Stars waliongeza mashambulizi yalioyoinyamanzisha kabisa New Zealand ambapo haikuonyesha makali yoyote.

Msomaji
Dar es salaam

No comments: