Naibu waziri wa mambo ya nje ya nchi na ushirikiano wa kimataifa Mh. Seif Ali Idd akibadilisha mafaili ya makubaliano ya mazungumzo yao juu ya uimarishwaji wa uhusiano baina ya mataifa hayo mawili na waziri wa Iran anayeshughulikia mambo ya nchi za Afrika yaliyofanyika katika hotel ya kilimanjaro Kempisk jijini Dar es salaam jana.
Msomaji.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment