Friday, May 15, 2009

Mamia wa wahitimu wa kike ambao ni wafuasi wa kundi la Hezbollah wakisikiliza moja ya hotuba toka kwa viongozi wa kundi hilo katika kitongoji cha Beiruts hivi karibuni. Sasa imekuwa ni kawaida kwa kundi hilo kuwaanda wasomi wenye uwezo wa juu kabisa wa jinsia ya kike kwa ajili ya shughuli mbali mbali zikiwemo za kijasusi.
Msomaji.

No comments: