skip to main |
skip to sidebar
MISAADA KWA WAHANGA WA MBAGALA
Mkurugenzi wa Zahoro Matelephone Ltd, Bw Zahoro Khamis Zahoro akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Wiliam Lukuvi moja ya Mifuko ya unga yenye thamani ya shilingi 360,000 kwa ajili ya wahanga wa mabomu.
Mkurugenzi wa Bodi ya Wakurugenzi ,wa kampuni ya Serengeti Breweries LTD, Jaji Mark Bomani akiamakabidhi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, William Lukuvi msaada wa hundi yenye thamani shilingi milioni 10 kwa ajili ya wahanga walioathirika na mlipuko wa mabomu, katikati ni Mkurugenzi mtendaji Ajay Mahti , akishuhudia makabidhiano hayo yaliyofanyika katika ofisi ya Mkuu wa MkoaMsomaji
Dar es salaam
No comments:
Post a Comment