msomaji.
Friday, May 15, 2009
Baadhi ya waandamanaji katika moja ya vitongoji vilivyokumbwa na ghasia nchini India wakijaribu kukimbia kukwepa athari za mabomu ya machozi yaliyorushwa na polisi wa kutuliza ghasia katika kitongoji hicho hivi karibu. Hali bado ni tete nchini humo kufuatia maandamano yanaendelea kudai kuachiwa kwa wafungwa wa kisiasa waliokamatwa hivi karibuni.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment