Wednesday, December 31, 2008

KHERI YA MWAKA MPYA.

Ndugu watanzani,
kwa niaba yangu, viongozi wenzangu pamoja na wanachama wote wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) tawi la Marekani napenda kuwatakia kheri na baraka kwa mwaka ujao wa 2009, na kwamba uwe ni mwaka wenye mafanikio makubwa kwa kila mmoja wetu na hatimae taifa kwa ujumla wake.
Aidha mwaka ujao uwe ni mwaka ambao sote kwa pamoja tutaunganisha nguvu zetu kama wananchi wa taifa moja makini kabisa bila kujali umbali toka tulipo mpaka Tanzania, itikadi zetu kidini, kichama au hata kikabila katika kuwasaidia viongozi wetu kutimiza malengo tuliyojiwekea kwa maendeleo yetu kama taifa tukiamini kwamba Tanzania kwanza mimi baadae.
Mwisho nawaomba watanzania sote kila mmja kwa imani yake kumuomba mwenyezi MUNGU kuliepusha taifa letu Tanzania katika majanga na dhoruba mbalimbali na kwamba nchi yetu iendelee kuwa yenye amani, utulivu na upendo miongoni mwa mataifa duniani.

MUNGU IBARIKI AFRIKA,
MUNGU IBARIKI TANZANIA
.

Asanteni sana,
Ndejembi Michael,
M/kiti.

21 comments:

Anonymous said...

Second that loto happy new year Lordy Lordy

Thank you mwenyekiti, happy new year to you 2

Anonymous said...

you sound very tetchy this morning lordylordy like we give a flying hoa, so arrrgh have a happy new years day anyway, and oh the rest of the year if it is at all possible? Leave him or her to it november, obviously they have nothing better to do

Mbongo-KC

Anonymous said...

Its a new year. I suggest we give Lordy a break aye!

Anonymous said...

Its a new year. I suggest we give Lordy a break aye!. Thanzanian's letts work for our country together which will makes easy for us.

Anonymous said...

Nawatakia mwaka mpya mwema watanzania wote popote pale tulipo. Mwaka huu uwe ni mwaka wa sisi wote kwa pamoja kushirikiana katika kulijenga taifa letu. Nawaomba watanzania wenzangu tuachane na majungu badala yake tuwe kitu kimoja katika kulijenga taifa letu

Anonymous said...

I wish all tanzanians a very Happy New Year 2009. May this year brings you lot of joy and propriety.

Anonymous said...

So count down last night. I hope you all had some crazy plans with friends and family to ring in the New Year. Have fun and stay safe, everyone.

Anonymous said...

Happy New Year to you too Chris - best of luck in '09! And as always, thanks for taking time out of your busy schedule to communicate with the fans.

Anonymous said...

Happy new year!
Wish you all tanzanias the best and joy and wonderful things to become true this year!
It's 2009!

Thanks to mwenyekiti to connect us


JAMES---Dar

Anonymous said...

Happy New Year Tanzanias!! Another year closer to the summer of 2010!! WOOOOOHOOOOO!!! LOL!

Thanks ccm for keepin in contact with us members. Always a good time

Anonymous said...

That shirt is awesome.

Happy new year!

ccmmarekani, thanks for all the stuff you put on the internet


mike--USA

Anonymous said...

I am getting tired of hearing stories about people saying i wanna do things/that. Who cares about them. They put stories here and everywhere all the time. This mwenyekiti is the true fight of our country not like other crackhead loser.

Happy new year to you all, and i would like to say my lovely president JK is the true president with a good heart for his people.

God bless you JK

King--USA

Anonymous said...

It's been a great year for me in 2008. One season ended, another began, and of course I got to enjoy with the best in the country in Texas for the summer

But I know 2009 is going to be even better for my people in tanzania but not including fisadi's.

Thank you JK. Good job and we w'll b with u

Happy new to you all!

Anonymous said...

Good bye 2008. It is over and it is gone. Only what we did in this year remain, as a witness for this great year that have slipped away from us. The year which made us jump with joy except fisadi's, made us take crucial step’s and decisions of our life and spent a life we always wished to live. Lot of happiness and achievements, and it is time to tell a fair well good bye to 2008, and whole heartedly welcome 2009 to our life.

My fellow tanzanians, lets be strong and play for our president

Anonymous said...

Welcome 2009. As fresh as it could be. A new year to go for our life ambitions. Life passions. A new year to see our dreams being fulfilled. A new year to achieve the impossible ( crackdown fisadi's). A new year to bring out the best out of us, and make it the best life we ever had in our life.

Wish you all tanzanias the best and New Year greetings to all the readers.

Malwa--DC

Anonymous said...

You think lack or negative thoughts

Never write: “I don’t want a headache next year,” for the Universe always says yes, regardless of our positive intentions. “Headache? There, you’ve got it!” Instead, state your wishes using positive words: “I will be healthier than I’ve ever been” works better. “I want to get out of debt.” Ouch!

For tanzanians we need a government that works.

Happy new year people !!!!

Paul--Dar es salaam

Anonymous said...

Tanzanian's we don’t need to write down a date.
Let's give the Universe a deadline. Let's puts our mind into it also, and our positive focus on the matters we wish to happen to us will be more easily granted. So, instead of saying: we want kill them fisadi's new year, we say, we want all fisadi's to be killed by May of 2009, or whatever year we are thinking about.

My people we will get there !!!

Happy new year to my people

Katto--london

Anonymous said...

hizi ni moja kati ya speeches makini kabisa kupata kutolewa waambie ccm kwamba tunashukuru na ningekushauri bwana mwenyekiti hii timu yako iko poa sana so usifanye uswahili.
hivi vitu tunavihitaji sana bwana mkubwa

nikki
austin
tx

Anonymous said...

ccm mlikuwa wapi miaka yote hiyo jamaani! mpaka tunataka kupoteza imani.
asanteni sana, hivi huyu moderator huko bongo ama nchi gani maana napata shida ningefurahi kupata namba zenu za simu

victor
loussiana

Anonymous said...

ee bwana eeh! ccm oyeeeeh, mwwana ndejembi kitu kimetulia sasa mbona tumechelewa sana kujua kuhusu huu mtandao? usiniambie hujatangaza kwenye magazeti ya bongo, kama hujafanya hivyo mkuu hututendei haki hata kidogo we unadhani sisi tutajuaje?

ibrahim shaaban,
new york
usa

Anonymous said...

asante mkuu kwa salam za mwaka mpya, kwanza nikupongeze kwa kazi nzuri ambayo naamini inakugharimu sana muda wako na hasa ukizingatia kwamba wewe ni mwanafunzi na kana kwamba haitoshi unapiga schedule kama kawa.
Ndejembi ninamawazo kidogo na kwa tabia yako ya kutusikiliza naamini utayafanyia kazi haya nitakayoyasema, blog hii ni yetu sote nilitaka kushauri tu kwamba jaribu kututumia taarifa mapema zaidi kwani naamini unao uwezo wa kupata taarifa hizo mapema pengine kuliko chombo chochote kwani huu ni mtandao wa chama tawala.
Fanya hivyo mkuu

chacha
mexico city
mexico.