Friday, December 19, 2008

Hatimae aliyekuwa katibu mkuu wa Wizara ya Fedha Mh. Gray Mgonja ameachiwa kwa dhamana jana katika mahakama ya Kisutu baada kutimiza masharti yaliyotolewa na mahakama hiyo. Kesi itaendelea kusikilizwa hapo baadae, katibu huyo mstaafu alitoa hati ya nyumba kadhaa pamoja na godauni linalokadiliwa kuwa na thamani ya Tsh 6.1 bilion.
Msomaji.

4 comments:

Anonymous said...

tanzania imekuwa mfano barani afrika katika kupambana na rushwa! Hongera kikwete,hongera CCM

Anonymous said...

Huyu naye vipi, hizo mali alizotoa kujikomboa katoa wapi. Je amelipa kodi katika hizo biashara alizofanya mpaka hakapata hizo pesa. Huyu kesi yake imeisha, kajiukumu mwenyewe. Hawa jamaa kweli wanachekesha, wanapotoa hizo pesa wanategemea sisi walala hoi tuwaelewe vipi?.
Kweli wamepatikana mwaka huu, hata hile danganyia toto hawajui

Anonymous said...

Hivi tanzania kuna mabilionea wangapi mpaka sasa hivi.

Anonymous said...

Fisadi's violence crackdown under way in tanzania; kikwete searching for help to benefit all tanzanias

Hii hilikuwa cnn siku huyu jamaa alipofikishwa maakamani