Tuesday, December 16, 2008

Mambo ya uwekezaji.

Moja ya viongozi waliohudhuria mkutano wa uwekezaji huko Arusha Mh. Lowasa akimsikiliza kwa makini rais Karume ambaye ndiye aliyefungua mkutano huo muda mupi baada ya ufunguzi.
M/Ndejembi.

2 comments:

Anonymous said...

Nchi yetu ina idadi ya watu wasiopungua millioni 39 lakini watu ninao waona kila siku ni wale wale. Huyu jamaa sialitangaza kuacha kazi, sasa inakuwaje yupo huku.
Watanzania nasisi inabidi tuwe makini na tunaowatuma.

Anonymous said...

Kuna watu wanadai eti huyu jamaa anaakili sana lakini mimi sioni kama akili zake ni za kusaidia nchi yetu bali watu wachache wenye rohoo mabaya kwa watanzania walio wengi