Saturday, December 20, 2008

JIJI LA NEW YORK, SIKU KABRA YA SEPITEMBA ILEVENI

Hivi ndivyo lilivyokuwa likionekana jiji la Manhattan NY, siku moja kabla ya tukio la september eleven wakati wa usiku . Picha hii imetumwa na msomaji wetu kutoka New York ambaye siku ya tukio alikuwa katika jengo la sita kulia kwa majengo mawili marefu kuliko yote yaliyoangushwa. Ukitaka kuona vizuri jengo alilokuwemo msomaji bonyeza kwenye picha.

Msomaji.

3 comments:

Anonymous said...

CCM hapa mmenifuraisha. Kumbe mambo yenu tofauti na watu wengine wanavyowafikilia. Kweli tanzania ya sasa ni tofauti sana na miaka michache iliyopita

Nimefuraishwa sana na hii kitu

Anonymous said...

miaka 2000 kuanzia sasa bongo kutakuwa hivi kama mafisadi watadhibitiwa ipaswavyo. Kaza buti JK tuko nyuma yako

Anonymous said...

Kwaiyo mafisadi mambo kama haya hawataki yaonekane kwetu.