

Ujumbe wa CHADEMA ukiwasili Ikulu


Wajumbe upande wa Serikali

Ujumbe wa Uongozi wa CHADEMA ukipitia kwa makini taarifa ya pamoja kati ya serikali na chama hicho kabla ya kukisambaza kwenye vyombo vya habari ikiwa ni hitimisho la mkutano wao baada ya mazungumzo ya siku mbili Ikulu jijini Dar es Salaam

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Emmanuel Nchimbi na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia Muungano Mh. Samia Suluhu Hassan wakipitia taarifa hiyo ya pamoja

Prof. Abdallah Safari na Mh. John Mnyika wakitafakari


Prof. Baregu akiaga

Rais Kikwete akiagana na Prof. Safari


Mh. Tundu Lissu akiagana na Rais Kikwete.


Mwenyekiti wa CHADEMA, Mh. Freeman Mbowe akifunga mlango wa gari yake wakati akiondoka Ikulu jijini Dar leo

Gari la Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Freeman Mbowe na lingine lililobeba wajumbe wa uongozi wa CHADEMA yakiondoka IKULU baada ya mkutano na Rais Jakaya Kikwete leo
No comments:
Post a Comment