Jumbe Ismail - Zanzibar.
Sunday, December 21, 2008
ZANZIBAR NA UPEPO WAKE MUURUWA.
Hivi ndivyo inavyoonekana maadhari ya Zanzibar hasa kipindi hiki cha kuelekea sikukuu, aliyetutumia picha hii anadai kwamba hali ya uchumi inayoikabili dunia kwa sasa imeathiri hali ya mambo nchini Tanzania na kwamba inawalazimu kutegemea uvuvi badala ya kutegemea utalii pia ili kujikimu kimaisha.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
3 comments:
hapa ndio kwetu zenji ?. Hii sehemu mbona sijawai kuiona ?
Kumbe kwetu babu kubwa namna hii. Mimi siondoki
Omari
Leo nimecheka sana nilipokuta hii picha humu maana imenikumbusha mbali. Nikweli hii ni zanzibar kwetu. Mshijakaji wangu kanipigia simu nitembelee hii site hili nipaone nyumbani. ccm kwa hili mmenikumbusha mbali.
Post a Comment