Saturday, December 20, 2008

Rais mteule wa Marekani Bw. Baraka Obama anaekabiliwa na changamoto ya kuinua uchumi wa taifa kubwa kabisa dunia la Marekani, hali ya mambo bado si shwari ndani ya Marekani na dunia nzima kwa ujumla kutokana na hali mbaya ya kiuchumi inayoikabili dunia kwa sasa.

Ndejembi Michael.

3 comments:

Anonymous said...

Huyu jamaa hatari sana.

Anonymous said...

Watu hoo marekani mtu mweusi hawezi kutawala, sasa imekuwaje?

Anonymous said...

Dunia nzima wanamkubali Obama. Marekani ni nchi moja inayofanya kazi zake kwa umakini sana ndio maana wamekubali ktawaliwa na huyu jamaa.