Rais kikwete akipewa maelekezo juu ya namna bora ya uzalishaji wa mbegu bora ya zao la Mpunga toka kwa Mtaalam wa zao hilo Bwana Marcus Langa wa kituo cha utafiti wa kilimo cha Boane - Umbeluzi nje kidogo ya jiji la Maputo jana.
Imani za CCM zimejengwa chini ya misingi ya usawa kwani binadamu wote ni sawa. CCM kinalenga kumuwezesha mwananchi yeyote wa Tanzania kupata maendeleo.
U.S.A.
Contact
Welcome to the blog of CCM members living in the State of Texas in the United States of America. If you'd like more information about CCM, please contact us at ccmtexas12@gmail.com. We welcome suggestions and comments. If you'd like to become a member, email us and we'll assist you as quickly as possible.
What's the most pressing issue for Tanzanians abroad?
1 comment:
Hivi msumbiji mambo yao yako safi kuliko kwetu ?
Post a Comment