Monday, December 29, 2008

Picha nyingine iliyopigwa na Bw. J. Ayub- hili ni moja kati ya madaraja makubwa kabisa hapa nchini marekani kupata kujengwa katika miaka ya themanini.

8 comments:

Anonymous said...

Nilipita daraja hili si mchezo maana unajisikia kama umepanda ndege. Umbali wake ni kama maili sita hivi juju kwa juu. Kweli wenzetu wapo mbali sana

CCM naomba mtundike na lile la kule hili wenzetu waliopo nyumbani walau wayaone kwa macho.

Anonymous said...

Kama hili ndio tunaitaji pale jangwani.

Anonymous said...

yeeeh mwana, hii mbona ndo yenyewe. hivi vitu tusiishie kuviona tu kwenye blog ya ccm tuna vitaka sana hivi vitu hapa bongo tuiona mambo haya yanafanyika mbona tunaacha migimo.
ee bwana Michael washkaji wa IFM wanakupa salam nyinyi sana.

Hamis J.
mzee wa sebene
IFM- Dar es salaam Tz

Anonymous said...

Niambie bingwa wa mabingwa! mwana uko mtohni!? we chamcha sikuwezi. ebwana mi nawakia salaam masela wote wa hapa IFM,CBE,DIT,TUMAINI,MZUMBE NA SUA sijawasahau pia wazee wa Mlimani.

Lusajo
Ifm bongo

Anonymous said...

tunataka viongozi wa kututendea mambo kama haya sio ufisadi tu.

Anonymous said...

sawa sawa wana ccm nazikubali jitihada zenu. kila la kheri kwa mwaka ujao wa 2009

Anonymous said...

Hili ndio tunaitaji pale kigamboni

Anonymous said...

Je lile la manzese linaendeleaje?. Naomba mwenye taharifa aau picha awatumie ccm walibandike litanikumbusha mbali