Wednesday, December 17, 2008

Na nyingine hii hapa, hawa jamaa wanatembea na hizi picha na nyingine nyingi tu za mambo mbalimbali ya bongo. Sijui kama hata wabongo wenyewe wanaweza kufanya hivyo sio kwa aajiri ya kuwaonyesha watu mbalimbali bali kama fahari yao iwe kwenye simu za mkononi, screen sever au mahala pengine popote.
Msomaji.

1 comment:

Anonymous said...

jamaa nyumbani kuzuri marekani sijui tunafanya nini. michael endelea kuitangaza nchi bwana.