Monday, December 15, 2008

MOTO WAZIDI KUWAKA SERIKALI YA JK.

Kuwajibika ni wajibu ikibidi utawajibishwa na hasa ukishindwa kuwajibika, huu ndio utawala wa sheria unaozingatia taratibu za kiutendaji.
Mzee mgonja (pichani) aliyekuwa katibu mkuu wizara ya fedha akikumbana na adha ya uwajibishwaji baada ya kufikishwa mahakama ya kisutu leo kujibu tuhuma za kuisababishia serikari hasara ya mabilioni ya pesa.

2 comments:

Anonymous said...

Nchi yetu ni tajili sana lakini viongozi wetu wenye mawazo mafupi kama huyu bwana ndio wanasababisha matatizo tuliyo nayo. Inabidi tujifunze kutoka kwa wenzetu kuwa mtu anapenda na kuitumikia nchi yake kwa moyo mmoja na sio kuongwa tu na kusaau wananchi wenzake. Mungu mbariki JK kwa kazi nzuri anayofanya.

Anonymous said...

Sasa hapa ngoma inachezwa vipi. Naona jamaa anatafakali kwa makini sana lakini ndio hivyo tena. Kweli tanzania mabadiliko yanatokea kwa nguvu