Saturday, December 27, 2008

Maendeleo ya kiuchumi katika nchi au jamii yeyote duniani hutegemea mambo mengi muhimu na moja kati ya hayo ni usafirishaji. Hii ni moja kati ya njia kuu za isafirishaji nchini korea ambazo zimesaidia sana ukuaji wa uchumi wa taifa hilo ambalo kwa sasa ni moja kati ya mataifa yenye nguvu kubwa za kiuchumi duniani.

Ndejembi Michael.

12 comments:

Anonymous said...

Je tanzania usafiri unapewa kipau mbele. Historia ya marekani inonyesha kuwa wakati barabara zinajengwa uchumi wa nchi uliyumba sana kiasi cha kutisha lakini rais alisema lazima bara bara zijengwe. Sasa hivi faida zake wamarekani wanaziona maana usafiri nchini humo ni mzuri sana na unasaidia sana katika kukuza uchumi wa nchi hiyo

Anonymous said...

viongozi wetu wana paswa kuiga mfano huu. ni vizuri kuwa katika katika mtazamo unaweza kuisaidia nchi as nchi badala mtu as mtu.

Anonymous said...

hawa jamaa wako mbali sana lkn isitukatishe tamaa, ni lazima tuone umuhimu wa hivi vitu kwa maendeleo ya nchi yetu.

bj
austin
tx

Anonymous said...

kama wasomi wa tanzania wangeitumia elimu yao vyema na hasa wakijua kwamba ni wajibu wao kuongozi mapambano dhidi ya umasikini, ujinga na maradhi leo tungekuwa half there bt tumekuwa more wabinafsi kwa kiwango cha kumchukia mmoja wetu anapopata maendeleo. Huu ni ukichaa ambao kamwe haufai kuvumiliwa, naomba kuwapongeza viongozi wa CCM marekani kwa kutufungulia mtandao huu kama moja ya hatua za kuonyeshana utofauti wetu na wenzetu

Ibuu
houston
tx.

Anonymous said...

kama wasomi wa tanzania wangeitumia elimu yao vyema na hasa wakijua kwamba ni wajibu wao kuongozi mapambano dhidi ya umasikini, ujinga na maradhi leo tungekuwa half there bt tumekuwa more wabinafsi kwa kiwango cha kumchukia mmoja wetu anapopata maendeleo. Huu ni ukichaa ambao kamwe haufai kuvumiliwa, naomba kuwapongeza viongozi wa CCM marekani kwa kutufungulia mtandao huu kama moja ya hatua za kuonyeshana utofauti wetu na wenzetu

Ibuu
houston
tx.

Anonymous said...

Rail transportation has been the product of the industrial era, playing a major role in the economic development of Western Europe, North America and Japan. I don't understand why tanzania we don't view things that way. The government need to step up on the issue like these because we need transportation to improve our economy. This will allow people around the area to improve their business and investments.

Eric--U S A

Anonymous said...

Rail transportation is characterized by a high level of economic and territorial control. In tanzania, railway need to operating in situation of monopoly, as in Europe, or oligopoly, as in North America.

Country like the United States has seven large rail freight carriers, each having a market area. This could be possible in tanzania because we can create about seven different rail company by allowing each one to operate a certain mails or Kilometer in one rail road.

Mtoa maoni

Anonymous said...

The ability of trains to haul large quantities of goods and significant numbers of people over long distances is the mode’s primary asset. I don't understand why in tanzania we don't use these opportunities

Anonymous said...

Tatizo la nchi yetu mambo yanaedeshwa bila mpangilio. Sioni sababu gani hatuchagui tatizo moja tukalimaliza. Inaeleweka kuwa nchi yetu inamatatizo mengi lakini tukigusa matatizo yote kidogo kidogo tutabakia pale pale. Nchi zilizoendele utumia njia hizo. Si kwamba wao hawana matatizo, tena ya kwao yanaitaji pesa nyingi sana kuyatatua. Inabidi tutumie mifano ya wenzetu waliondelea.


Nawashukuru ccm marekani kuanzisha mijadala kama hii.

Anonymous said...

Inasikitisha sana pale unapoambiwa traini yetu haifanyi kazi. Inabidi tujiulize kwa nini wakoroni walijenga hiyo traini pia ukitembelea nchi zote zilizoendea, njia ya reli utagundua kuwa inaeshimika mno.

Joyce--Wichitta

Anonymous said...

Mashirika kama haya uwa yanaendeshwa na serika au hata watu binafsi kwa kusaidiwa na serikali za nchi zao. Tanzania inabidi tuangalie kwa makini swala hili

Anonymous said...

Kama nikichaguliwa kuwa rais nitaakikisha nashugulikia tatizo moja mpaka liishe, pia nitajenga katiba inayomtaka rais anayefuatia kuendeleze kile kinachotakiwa sio tu mtu anakuja na mpangilio tofauti ndio maana hatuendelei. Wenzetu wa ulimwengu wa kwanza wanatumia taratibu hizo. JK mambo unavyoyaendesha safi sana na hakikisha kabra haujamaliza mda wako atakayefuatia aendelezee ulichokianzisha. Mafisadi mpo?, sisi lazima tuakikishe mnafutika katika ramani ya tanzania

Juma--Kaliakoo