Saturday, December 20, 2008

HIZI NDIZO ATHARI ZA KUPOROMOKA KWA UCHUMI

Hizi ndizo athari za kiuchumi zinazoikabiri dunia kwa sasa na inadhaniwa kuwa hari ni mbaya zaidi kwa nchi za dunia ya tatu ikiwemo Tanzania. Hiki ni moja kati viwanda vikubwa kabisa vya kutengeneza magari kilichopo Houston - Texas kikiwa na idadi kubwa ya magari bila kuwa na wanunuzi, idadi kubwa ya wamarekani kwa sasa wamepunguza kununua magari kutokana na wegi wao kupoteza kazi ama moja ya wanakaya kupoteza ajira.

Ndejembi michael.

2 comments:

Anonymous said...

Haya magari wangeyaleta tanzania yangepata wateja sana. Hawa wenzetu wa EPA wanaweza nunua hata kumi kumi maana pesa zao nje nje tu.

Anonymous said...

Hongera kwa kuwa na blog nzurisaa.

Nadhani elimu kwa watanzania itembee ili waweze kupata habari zaidi kuliko kusikiliza mtaani na kuishia kusoma magazeti ya udaku badala ya kufuatilia mbambo kiundani.