Wednesday, December 17, 2008


Hawa ndio wamatumbi walionitumia picha, wanadai wao ni wamarekani wenye asili ya tanzania ndio maana wanazo picha nyingi tu zinazoihusu tanzania. Na wanasema watakuwa wadau wakubwa wa blog hii ya CCM.

4 comments:

Anonymous said...

tatiza la sisi watamzania ni wanafiki kazi kusifia vya wenzetu tu,
yaani utamkuta mtu mzima na akili zake akiponda vitu vya bongo eti havitunzwi mara vichafu saa simkavioshe? ona awa jamaa yaani wanaipenda bongo kuliko sisi wazawa.

Anonymous said...

hawa jamaa wakamatwe mara moja na watueleze vizuri wamezitoa wa hizo picha na kwa nini wanatembea nazo wasijekuwa wafuasi wa osama,

Anonymous said...

Man michael acha jamaa waitangaze nchi yetu bwana maaana wenye wameshindwa kuitangaza sasa tufanye nini bwana,

Anonymous said...

Du hawajamaa nawafaamu nimekutana nao bongo mara nyingi. Walikuwa wanapenda kujichanganya sana. Naomba nitumie contact zao