Ndejembi.
Wednesday, December 17, 2008
ETI HAYA MAMBO YANATOKEA TANZANIA!?.
Mmoja wa ma-albino akiuguza majeraha baada ya kunusulika kifo, inasemekana ni kama amepoteza mikono yote! haya mambo eti yanatokea Tanzania? Ndugu hivi tunaelekea wapi sisi watanzani?, Serikali, wananchi na Taasisi zote za serikali na binafsi zimeshidwa kuwasaidia wa ndugu!? Tunaisihi serikali IAMKE na ISHUGHULIKIE suara kwa ukamirifu, Haya sio maisha.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
3 comments:
Kweli siamini kama katika ulimwegu wa sasa bado kunawatu wanamawazo potofu kama wenzetu wanaouwa binadamu wenzao hili kujipatia pesa.
Watanzania wenzagu inabidi tuwe tunaenda na wakati. Hii inatia aibu kishenzi
Watanzania wenzangu inabidi tuwemakini maana haya mambo yayojitokeza sasa hivi ni haibu tupu.
Mungu wangu, aliyefanya hiki kitendo akiona hii picha anajisikia vipi ?
Post a Comment