Saturday, December 20, 2008

BAADA YA KUTUNUKIWA SHAHADA JK AREJEA

Rais Dr. Kikwete akiteta jambo na makamu wa kwanza wa rais Dr. Mohamed Shain alipokuwa akirejea toka Nairobi - Kenya. Kushoto kwa Dr. Shain ni mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mh. Kandoro.

Ndejembi Michael.

8 comments:

Anonymous said...

Unajua katika marais tulio wai kuwa nao, Jk anajipenda sana. Kawaida mtu anayejipenda uwa anapenda maendeleo ndio maana JK mtizamo wake ni kila mtanzania hawe na maendeleo kwa njia moja au nyingine.

Napenda sana rais wetu anavyopangilia mavazi yake.

Ngasa--U.S.A

Anonymous said...

Kweli JK mambo yake poa sana, unatulinda sana. Nimeangalia viongozi wengi wa afrika swala la mavazi na muonekano wao zero.

Anonymous said...

jk huko ulikotoka usiwasikilize sana maana wao wanajiona wajaja na wanataka tu kukutumia. Huwa hawana shukrani, mimi nimesoma nao wanajifanya wanajua kumbe hamna kitu

Anonymous said...

Siku hizi tanzania ni nchi inayoongelewa katika vyombo vya habari sehemu mbali mbali za ulimwengu. Inabidi tukubali huyu jamaa katuweka kwenye chat.

Anonymous said...

Jk umetuweka juu sana. Leo kati pita pita zangu mitaani nimekutana na jamaa akaniuliza "where you from?, you got accent", nikamwabia tanzania. basi kamalizia good country fighting colluption, president kakwete (naye ana akisenti katika lugha yetu).

Nikagundua kumbe sasa hivi hatuitaji kutumia mda mwingi kumwelezea mtu kuhusu tanzania, wanaitambua.

Anonymous said...

Jamani, PhD yoyote anayopewa JK thamani yake ni kubwa kwasababu inatokana na kazi nzuri anayolifanyia taifa letu na matunda yake yanafaidiwa na kila mtanzania. Watanzania tuungane kumpongeza na kumtakia afya njema kiongozi wetu mpenda wananchi wake.

Anonymous said...

Ninajivunia sana na rais wetu. Kila sehemu unayopita sasa hivi tanzania hiko juu kishenzi. Sijui wenzagu mliopo nchi zingine vipi, sisi huku kila mtanzania anaonge na kusikilizwa. Nashuru sana John kunipatia hii site

Amis

Shenzhen-CHINA

Anonymous said...

TUANAKUTAKIA AFYA NJEMA NA NGUVU KATIKA KIPINDI CHA MWAKA 2009. MUNGU AKUBARIKI