Monday, February 7, 2011

SHEREHE YA KUAZIMISHA MIAKA 34 YA CCM. HOUSTON, TX.

Picha ya pamoja ya Wanachama wa Tawi na Viongozi wao Katibu akimkabidhi kadi mwanachama mpya.


Katibu wa Muda wa Itikadi na Uenezi akitoa nasaha zake


Katibu mkuu wa Muda akitoa kadi kwa mwanachama mpya
Viongozi wa Muda wa TAwi na Viongozi wa Shina no 1 Houston

Katibu wa Tawi wa Muda akimpongeza Mwenyekiti wa shina no 1 Houston Cassias Pambamaji mara tu baada ya ufunguzi wa shina hilo katika sherehe hizo

Da Zainab pia alikuwepo
Hongera mwanachama mpya
Hongera sana kwa kujiunga na CCM
Uongozi wa Shina na Tawi

Tuko Juu!
Juu zaidi!
CCM Oyee!
OYeee!
Mwenyekiti wa muda wa Tawi Novatus Simba akimpongeza mwanachama mpya mara baada ya kuchukua kadi yake
Kaka Juma Maswanya pia alikuwepo
Wanachama wakiwa na sura za Furaha
Ilikuwa ni furaha tupu
Hongera saaana!
Mwanachama mpya na Viongozi wa MudaMaswanya,Simba, Kitogo
Secky Adadi akichukua kadi kwa furaha tele

Kila mtu alikuwa happy!
Chacha Mussa Akipokea kadi yake
Hongera LBT!
Da zainab akiwa mwenye furaha tele
Katibu akitoa kadi kwa mwanachama mpya huku viongozi wengine wakiangalia
Green and Yellow!
Karibu sana kundini!































2 comments:

OMMY DC said...

Kazi nzuri sana vijana, hii inatupa moya hata sisi CCm wengine huku USA tuanze kuchukua kadi.

OMMY

DC

Anonymous said...

HIZO CARD SHILLING NGAPI JAMANI BECAUSE I REALLY NEED ONE.