Sunday, July 8, 2012

Mabadiliko ya Jina la Tawi - CCM-Texas


Ndugu wanaCCM,



Kikao cha Halmashauri kuu ya CCM Tawi la Marekani kilichokutana Houston
tarehe 13.03.2012, pamoja na mambo mengine kilijadili haja na hoja ya kuwa na
matawi kila State za Marekani ili kurahisisha utendaji wa shughuli za Chama.

Kwa minajili hiyo sisi wanaCCM wa Jimbo la Texas tumeitikia wito huo na tayari 
tumebadili jina kutoka CCM Marekani kwenda CCM-Texas. Jina hili jipya 
linatuonyesha uhalisia wa pale tulipo tofauti na la awali ambalo lilijumuisha Marekani yote.

Tumeshaunda uongozi wa muda wa Tawi la CCM-Texas ambalo litakuwa na 
mashina ya Houston na Dallas.

Orodha kamili ya uongozi wa Tawi la CCM-Texas ni kama ifuatavyo:-



SIMON  MAKANGULA - Mwenyekiti wa Tawi  
    
ABDALLAH NYANGASA - Katibu Mkuu  

MISSO TEMU  -Katibu wa Uchumi na Fedha  
                  
CASSIUS PAMBAMAJI - Katibu Itikadi na Uenezi

GASPER ASSENGA  - Mjumbe Halmashauri Kuu          
AMINA LESSO - Mjumbe Halmashauri Kuu                        
FRANK MUTAFUGWA  - Mjumbe Halmashauri Kuu        
MZEE R. KHALFANI  - Mjumbe Halmashauri Kuu              
ISSAC KITOGO  - Mjumbe Halmashauri Kuu                      
AZRAT TEMU  - Mjumbe Halmashauri Kuu                        
MKUDE AUGUSTINE - Mjumbe Halmashauri Kuu
MIRAJI MALEWA - Mjumbe Halmashauri Kuu
ABDULKARIM  FARAJ  - Mjumbe Halmashauri Kuu
ANTHONY NDIBAKYAO - Mjumbe Halmashauri Kuu
FRANK MATTHEW - Mjumbe Halmashauri Kuu
ALVIN LEMA - Mjumbe Halmashauri Kuu
SALUM RAJABU - Mjumbe Halmashauri Kuu




Kidumu Chama cha Mapinduzi

Imetolewa na:

Katibu Itikadi na Uenezi

No comments: