Ndugu wanaCCM,
Kikao cha Halmashauri kuu ya CCM Tawi la Marekani kilichokutana Houston
tarehe 13.03.2012, pamoja na mambo mengine kilijadili haja na hoja ya kuwa na
matawi kila State za Marekani ili kurahisisha utendaji wa shughuli za Chama.
Kwa minajili hiyo sisi wanaCCM wa Jimbo la Texas tumeitikia wito huo na tayari
tumebadili jina kutoka CCM Marekani kwenda CCM-Texas. Jina hili jipya
linatuonyesha uhalisia wa pale tulipo tofauti na la awali ambalo lilijumuisha Marekani yote.
Tumeshaunda uongozi wa muda wa Tawi la CCM-Texas ambalo litakuwa na
mashina ya Houston na Dallas.
Orodha kamili ya uongozi wa Tawi la CCM-Texas ni kama ifuatavyo:-
SIMON MAKANGULA - Mwenyekiti wa Tawi
ABDALLAH NYANGASA - Katibu Mkuu
MISSO TEMU -Katibu wa Uchumi na Fedha
CASSIUS PAMBAMAJI - Katibu Itikadi na Uenezi
GASPER ASSENGA - Mjumbe Halmashauri Kuu
AMINA LESSO - Mjumbe Halmashauri Kuu
FRANK MUTAFUGWA - Mjumbe Halmashauri Kuu
MZEE R. KHALFANI - Mjumbe Halmashauri Kuu
ISSAC KITOGO - Mjumbe Halmashauri Kuu
AZRAT TEMU - Mjumbe Halmashauri Kuu
MKUDE AUGUSTINE - Mjumbe Halmashauri Kuu
MIRAJI MALEWA - Mjumbe Halmashauri Kuu
ABDULKARIM FARAJ - Mjumbe Halmashauri Kuu
ANTHONY NDIBAKYAO - Mjumbe Halmashauri Kuu
FRANK MATTHEW - Mjumbe Halmashauri Kuu
ALVIN LEMA - Mjumbe Halmashauri Kuu
SALUM RAJABU - Mjumbe Halmashauri Kuu
Kidumu Chama cha Mapinduzi
Imetolewa na:
Katibu Itikadi na Uenezi