Rais Jakaya Kikwete akiongozana na Mkewe Mama Salma Kikwete walipotembelea Maonesho ya saba saba jijini Dar es salaam. Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na mmoja wa wajasiliamali waliopo kwenye banda la shirika lisilokuwa la kiserikali linalotoa mikopo kwa wafayabiashara ndogondogo Pride Tanzania wakati alipotembelea katika banda hilo jioni hii katika maonyesho ya 33 ya biashara ya kimataifa yanayofanyika kwenye viwanja vya saba saba Kirwa jijini Dar es alaam, wa pili kutoka kulia ni Mke wa Rais Mama Salma Kikwete na katikati ni Meneja mkuu wa Shirika la Pride Shimimana Ntuyabaliwe.
Imani za CCM zimejengwa chini ya misingi ya usawa kwani binadamu wote ni sawa. CCM kinalenga kumuwezesha mwananchi yeyote wa Tanzania kupata maendeleo.
U.S.A.
Contact
Welcome to the blog of CCM members living in the State of Texas in the United States of America. If you'd like more information about CCM, please contact us at ccmtexas12@gmail.com. We welcome suggestions and comments. If you'd like to become a member, email us and we'll assist you as quickly as possible.
What's the most pressing issue for Tanzanians abroad?
No comments:
Post a Comment