skip to main |
skip to sidebar
KIWANDA CHA KUTENGENEZA MAGARI TANZANIA CHATENGENEZA MAGARI YANAYOENDANA NA SOKO LA DUNIA
Jeshi la wananchi ( JWTZ )Kiwanda cha NYUMBU wametengeneza Roli aina ya NYUMBU linalovutia hata kwa kulitazama na ambalo pia ni Imara sana, hii ni hatua kubwa kwa jeshi letu. Hapa ni kwenye maonesha ya saba saba yanayofanyika kwenye Viwanja vya Mwalimu J.K Nyerere Barabara ya Kirwa. Tunajionea Teknolojia nchini Tanzania inavyokuwa kila mwaka, nifaraja kubwa kwa upande wa Teknolojia yetu hasa katika kutengeneza Magari MsomajiDar es salaam
No comments:
Post a Comment