WAZIRI MKUU PINDA KATIKA MKUTANO WA KILIMO NA USINDIKAJI MAZAO ABUJA NIGERIA
Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akiwa na Makamu wa Rais na Kaimu Rais wa Nigeria, Dk. Goodluck Jonathan (katikati) na kushoto ni Rais wa Sierra Leon, Ernest BaiKoroma wakisikiliza wimbo wa taifa wa Nigeria kabla ya kuanza kwa mkutano wa viongozi wakuu wa Afrika kuhusu Maendeleo ya Biashara na Usindikaji wa Mazao yaKilimo uliofanyika kwenye ukumb i wa hoteli ya Transcorp Hilton jijini Abuja Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda, Waziri wa Viwanda Biashara na Masoko, Mary Nagu (kushoto) na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Seif Ali Iddi (kulia) wakitoka kwenye ukumbi wa mikutano wa hoteli ya Transcorp Hilton katika jiji la Abuja baa ya kufungwa kwa mkutano wa viongozi wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Maendeleo ya Biashara na usndikaji wa mazao ya kilimo Machi 10, 2010. Mheshimiwa Pinda alimwakilisha Rais Jakaya Kikwete katika mkutano huo.
Imani za CCM zimejengwa chini ya misingi ya usawa kwani binadamu wote ni sawa. CCM kinalenga kumuwezesha mwananchi yeyote wa Tanzania kupata maendeleo.
U.S.A.
Contact
Welcome to the blog of CCM members living in the State of Texas in the United States of America. If you'd like more information about CCM, please contact us at ccmtexas12@gmail.com. We welcome suggestions and comments. If you'd like to become a member, email us and we'll assist you as quickly as possible.
What's the most pressing issue for Tanzanians abroad?
No comments:
Post a Comment