Nibu waziri Chiza azindua mradi wa kilimo cha umwagiliaji Mwangomole
Naibu Wazri wa maji na Umwagiliaji Christopher Chiza akizindua mradi wa kilimo cha Umwagiliaji wa Mwangomole, katika Kijiji cha Kwala, Kibaha mkoa wa Pwani leo ikiwa ni sehemu ya uzinduzi wa maadhimisho, maadhimisho hayo ya 22 ya wiki ya Maji pia yanafanyika sambamba na maonyesho kwenye viwanja vya Mwendapole. NAIBU Waziri wa Maji na Umwagiliaji Christophe3r Chiza (kaundasuti) akiangalia ramani ya mradi huo (anayeamuonesha (katikati ) niMsimamizi wa Mradi huo Mhandisi, Rogers Ishengoma. Msomaji
Imani za CCM zimejengwa chini ya misingi ya usawa kwani binadamu wote ni sawa. CCM kinalenga kumuwezesha mwananchi yeyote wa Tanzania kupata maendeleo.
U.S.A.
Contact
Welcome to the blog of CCM members living in the State of Texas in the United States of America. If you'd like more information about CCM, please contact us at ccmtexas12@gmail.com. We welcome suggestions and comments. If you'd like to become a member, email us and we'll assist you as quickly as possible.
What's the most pressing issue for Tanzanians abroad?
No comments:
Post a Comment