Mfurulizo wa matukio ya sherehe za Maadhimisho ya Mapinduzi ya zanzibar
Makamu wa Rais Dk Ali Mohamed Shein akikagua uimara wa vigae vilivyoezeka paa la jengo la Ofisi yake inayojengwa katika eneo la Tunguu huko huo Zanzibar katika maadhimisho ya Miaka 46 ya Mapinduzi ya Zanzibar. Ofisi hiyo inategemewa kuimarisha shughuli za Muungano pindi itakapokamilika muda mfupi ujao. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mustafa Mohamed Ibrahim na Profesa Lekule wa Chuo cha Ardhi na usanifu wa Majengo. Naibu Waziri wa Mawasiliano ,Sayansi na Teknolojia Dk Maua Abeid Daftari akijadiliana jambo na Mama Mwanamwema Shein,Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Ali Mohamed Shein,muda Mfupi baada ya Dk Shein kuweke jiwe la Msingi la ujenzi wa Shule ya Sekondari Makangale ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Miaka 46 ya mapinduzi ya Zanzibar
Imani za CCM zimejengwa chini ya misingi ya usawa kwani binadamu wote ni sawa. CCM kinalenga kumuwezesha mwananchi yeyote wa Tanzania kupata maendeleo.
U.S.A.
Contact
Welcome to the blog of CCM members living in the State of Texas in the United States of America. If you'd like more information about CCM, please contact us at ccmtexas12@gmail.com. We welcome suggestions and comments. If you'd like to become a member, email us and we'll assist you as quickly as possible.
What's the most pressing issue for Tanzanians abroad?
No comments:
Post a Comment