Maadhimisho ya Miaka 46 ya mapinduzi ya Zanzibar yafana Gombani Pemba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Amani Abeid Karume akikagua gwaride rasmi la vikosi vya ulinzi katika kilele cha shereh za kutimia miaka 46 ya Mapinduzi ya Zanzibar katika kiwanja cha Gombani Pemba leo tarehe 12/01/2010.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Amani Abeid Karume na Rais Jakaya Mrisho Kikwete wakipokea salamu ya Heshma ya vikosi vya Ilinzi na Usalama, wakati wa sherehe za maadhimisho ya miaka 46 ya Mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika mapema leo Gombani Pemba.
Askari wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama wakipita mbele ya jukwaa kuu kutoa heshima kwa Viongozi ambao walihudhuria katika sherehe za kutimiza miaka 46 ya Mapinduzi ya Zanzibar leo katika uwanja wa Gombani huko Pemba.Picha/Clarence Nanyaro….VPO Wananchi mbalimbali kutoka vyama vya siasa vya CCM na CUF wakipita kwa maandamano katika kuadhimisha sherehe za miaka 46 ya Mapinduzi ya Zanzibar katika uwanja wa Gombani huko Pemba .Wananchi wengi walijitokeza tofauti na miaka iliyopita kufuatia makubaliano ya amani ya hivi karibuni kati Rais Aman Karume wa CCM na Maali seif Sharif Hamad wa CUF.
Imani za CCM zimejengwa chini ya misingi ya usawa kwani binadamu wote ni sawa. CCM kinalenga kumuwezesha mwananchi yeyote wa Tanzania kupata maendeleo.
U.S.A.
Contact
Welcome to the blog of CCM members living in the State of Texas in the United States of America. If you'd like more information about CCM, please contact us at ccmtexas12@gmail.com. We welcome suggestions and comments. If you'd like to become a member, email us and we'll assist you as quickly as possible.
What's the most pressing issue for Tanzanians abroad?
No comments:
Post a Comment