Majeruhi katika ajari ya treni akipatiwa huduma ya kwanza, Waziri wa miundombinu Bi. Shukuru Kawambwa amesema kwamba kazi ya uokoaji imekuwa ikiendelea vizuri licha ya ugumu ambao unatokana na ukosefu wa vifaa vya uokoleaji.
2 comments:
Anonymous
said...
serikali iamke sasa kila siku ajali ikitokea wanadai vifaa vya either uokoleaji au vya matibabu ni lini tutajitosheleza kwa almost kila kitu?
Imani za CCM zimejengwa chini ya misingi ya usawa kwani binadamu wote ni sawa. CCM kinalenga kumuwezesha mwananchi yeyote wa Tanzania kupata maendeleo.
U.S.A.
Contact
Welcome to the blog of CCM members living in the State of Texas in the United States of America. If you'd like more information about CCM, please contact us at ccmtexas12@gmail.com. We welcome suggestions and comments. If you'd like to become a member, email us and we'll assist you as quickly as possible.
What's the most pressing issue for Tanzanians abroad?
2 comments:
serikali iamke sasa kila siku ajali ikitokea wanadai vifaa vya either uokoleaji au vya matibabu ni lini tutajitosheleza kwa almost kila kitu?
john
oklahoma
poleni kwa ajali hiyo mbaya sana
alfani
Post a Comment